wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, October 16, 2009

TweetThis! SUBIRA: Neno la Uzima - Focolare Movement

Nimepokea maneno haya ya busara toka kwa Padre Franco nikaona si vyema kula na kushiba peke yangu bali kuwapa na wengine pia.

P. Franco ni mwanzilishi wa kituo cha Faraja Centre na maelezo yake niliandika kwa ufupi katika posti iliyopita (bofya hapa kusoma) kumhusu yeye na huduma za pekee zinazotolewa kwa wananchi wa vijiji na vitongoji kadhaa vya mkoa wa Iringa.0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads