wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Monday, September 07, 2009

TweetThis! Mashine za ATM za NBC zitakuwa 'not richabo' Septemba 8-9


Taarifa zinasema kuwa mashine za kuchukulia fedha (ATM) za NBC hazitafanya kazi tarehe 8 hadi 9 mwezi huu wa Septemba mwaka huu huu wa 2009.
Wateja wanataarifiwa kuchukua fedha kabla ya tarehe tajwa ili kuepuka usumbufu wowote utakaoweza kujitokeza.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads