wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, September 29, 2009

TweetThis! Ipi ni tafsiri rasmi ya maneno haya: ATM na GPS


Rafiki mmoja anasema kuwa:
ATM  ni "Muamala wa kutoa fedha"
na mwingine akaongeza katika hilo akisema,
Nimeona ATM ambazo zinaruhusu kuweka fedha, basi tutahitaji kubadilisha jina na kuziita
"Muamala wa kutoa au kuweka fedha".

Kuhusu GPS, rafiki mwingine anasema inawezekana kupata jibu kwa kunyumbulisha hivi
1. Muamala wa kuonyesha sehemu
2. Mtambo wa kujiweka sawa
3. Mtambo wa kuashiria sehemu
4. Mtandao wa dira
5. Mtandao wa dira na sehemu
6. Mtandao wa dira na kuonyesha mahali/sehemu
7. Mfumo wa mwelekeo na sehemu
8. Mfumo wa dira
9. Mfumo wa dira ya mtandao
10. DYK (dira ya kisasa)
11. DMS (Dira ya muandamo wa satelaiti)
12. Dira toka juu
13. Dira najimu

Kind regards,
Mwidimi Ndosi,
Harrogate, North Yorkshire
http://researchdoses.net/default.as­px
Je, wewe wasemaje? tafadhali andika katika kisanduku cha maoni  utakapokuwa na nyongeza.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads