wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, August 07, 2009

TweetThis! Video: One Kenyan Man fell for Clinton's daughter! BoneyM - Nakupenda Malaika!

Enjoy the two videos! Malaika lyrics at the bottom of Malaika video below

BoneyM - Malaika

Lyrics: Boney M - Malaika 1981

Malaika, nakupenda Malaika.
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Malaika, nakupenda Malaika.
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Kidege, hukuwaza kidege.
Kidege, hukuwaza kidege.
ningekuoa dada
ningekuoa mama
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Malaika, nakupenda Malaika.
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

English Translation)
Angel, I love you Angel.
Angel, I love you Angel.
And me, what should I do, my love?
I don't have any money,
(LITERALLY: I'm defeated by wealth, I don't have any.)
I would marry you, Angel.
I don't have any money,
I would marry you, Angel.

Angel, I love you Angel.
Angel, I love you Angel.
And me, what should I do, my love?
I don't have any money,
(LITERALLY: I'm defeated by wealth, I don't have any.)
I would marry you, Angel.
I don't have any money,
I would marry you, Angel.

Little bird, I always dream of you, little bird,
Little bird, I always dream of you, little bird,
And me, what should I do, my love?
I don't have any money,
I would marry you, Angel.
I don't have any money,
I would marry you, Angel.

Angel, I love you Angel.
Angel, I love you Angel.
And me, what should I do, my love?
I don't have any money,
(LITERALLY: I'm defeated by wealth, I don't have any.)
I would marry you, Angel.
I don't have any money,
I would marry you, Angel.

1 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Sat Aug 08, 01:54:00 PM MST  

Hapa swali toka kwangu ni kuwa INAKUWAJE TUNASHINDWA KUVUMA KARIBU KATIKA KILA KITU na wajapo wengine wanatumia sehemu ndogo ya hazina yetu na kutikisa ulimwengu?
Si mazao kama mawese, ama vyura wetu na hata yule MJUSI uliyewahi kumripoti.
Niwaangaliapo hawa Boney M na kisha kuangalia namna wanavyopiga muziki wao, najiuliza kama kuna la ziada wafanyalo tusilolijua ambalo limewafanya wawe hapo walipo kwa wimbo wenye asili ya kwetu ilhali sisi TUNATAPATAPA kujitafutia asili ya wimbo wetu.
Anyway
Asante kwa mara ya tena Da Subi na Jumamosi njema

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads