wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, August 26, 2009

TweetThis! Mfano wa nyumba za wafanyakazi wa Reli Tanzania

Baadhi ya nyumba za lililokuwa Shirika la Reli Tanzania, kwa sasa TRL katika stesheni ya Mikumi. Watumishi wanaendelea kuishi kwenye nyumba hizi. Picha na habari toka kwenye blogu ya kaka Beda wa Lukwangule Ent. Ama kweli maisha bora kwa kila MTanzania yanakuja, tuendelee kuvuta subira kwani mambo mazuri hayataki haraka.
[MAKAZI+ya+wafanyakazi+wa+trl+mikumi.jpg]

1 feedback :

Yasinta Ngonyani said... Wed Aug 26, 02:11:00 AM MST  

Haraka haraka haina baraka. Lakini sasa ni polepole mno kama konokono mpaka unakata tamaa.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads