wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, July 05, 2009

TweetThis! Itengenezeni njia, yanyosheni mapito --> Netherlands suspends Tanzanian aid

Hii habari inanikumbusha saaaana yale maandiko matakatifu katika Biblia kutoka kwa 'Sauti ya Mtu aliaye Nyikani' nalo neno linasema, 'Itengenezeni njia ya bwana yanyoosheni mapito yake'. Nawapenda hawa watu, nitawapigia simu niwanunulie soda ya Fanta Orenji Bonge!
Mambo kwenda vululu vululu, kisanii sanii, kiBongo Bongo, siku moja yatakwisha wakigundua huo upuuzi wenu. Na mtajuuuuuuta mtakapofulia tena kwa maji matupu!
Eti ndugu zangu ndiyo watakaopata taabu zaidi? Taabu zaidi ya hii waliyonayo sasa hivi? Ah babu we, na ije tu. Tuanze upya!
Development minister suspends Tanzanian aid

Development Minister Bert Koenders has suspended financial aid to Tanzania. In a letter to the Lower House, he explains that Tanzania is an unreliable partner for foreign investors.

The Hague - Development Minister Bert Koenders has suspended financial aid to Tanzania. In a letter to the Lower House, he explains that Tanzania is an unreliable partner for foreign investors.

Koenders took the decision after a Dutch entrepreneur lost his investment.

The letter does not name the entrepreneur or explain the details of the case, but the minister says enough is enough.

It is not clear how much money Tanzania will miss out on as a result of the decision.
News info source: Radio Netherlands / Expatica
Photo credit: Flickr

1 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Sun Jul 05, 05:52:00 PM MST  

Ok!! Let me be "easy psychic" here. You'll hear nothing from trhe govenment b'se (as Bushman said) "the one who are supposed to make life better, are the one who makes it worse" and they're the one responsible for that "status" stated by the minister of being "unreliable partner for foreign investors"
Trust me. ONE DAY we'll get rid of 'em
God Bless Good, Clean and Righteous TANZANIANS

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads