wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, June 04, 2009

TweetThis! Video: Barack Obama's speech at Cairo University, Egypt

3 feedback :

Anonymous said... Thu Jun 04, 11:07:00 PM MST  

hotuba ni nzuri sana, hasa wakati huu wa mchafuko wa dunia. ila kuna watu ambao hawapendi amani kwa pande zote mbili yaani kwa waarabu na waisrael. hivyo ugomvi hautaisha hata kidogo. kwa upande wa Marekani ni kwamba wamarekani wale wanao itwa ma-conservative wanapenda ubabe na kuwa super-power. Na hii yote inapatikana kwa kupigana vita. Iwapo Obama ataanza kutagaza Amani na kuepuka vita na kutumia mazungumo zaidi Marekani haitakuwa super power tena kwa sababu itakosa nafasi ya kuonyesha nguvu zake. Hivi sasa warusi na wachina wanatengeneza silaha nzito nzito kimya kimya utashangaa mara baada ya kipindi hiki cha mpito warusi wana kuwa super power. Hivyo tuombe mungu tu kwamba hii haja ya kuwa na amani iwe kwa mataifa yote na wala si kwa Marekani na Israel tu.
Asanteni,
Mwakipesile

Subi said... Thu Jun 04, 11:13:00 PM MST  

Anonymous Thu Jun 04, 11:07:00 PM MST
Shukrani kwa uchambuzi na mtizamo wako kwa upande mwingine.
Umesema sawa na ninaafiki kauli yako kuwa baadhi ya nchi kama vile Urusi, Uchina, Korea, Iran nk watakuwa na mwanya mkubwa wa kutengeneza vinu na silaha za nyuklia wakati huu 'mpenda amani' na 'mtaka suluhu' atakapokuwa anazuru dunia kutangaza 'amani, amani'.

Nancy Harris said... Wed Sep 02, 12:41:00 AM MST  

It is indeed very interesting to hear what the President of United States have to say about muslims. Quoting from the Quran for emphasis, President Barack Obama called for a "new beginning between the United States and Muslims". This is truly a new page upon which history is being written. His words will mean a lot, but it's the policies that count. Hope for the best.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads