Tangazo: Pata Mafuta ya Alizeti au/na Altar wine bei nafuu Dar
Kwa wale watumiaji wa mvinyo safi wa dodoma,wenye kiwango cha juisi ya zabibu ya kutosha kwa sasa msipate taabu kuzunguka madukani.Niko Dar kwa muda wa wiki mbili tatu hivi, nimewaleteeni hiyo divai.
Altar ( yenye alama ya msalaba, Red Sweet wine ) Bei 7,000/=Tsh
Ruby ( ya kiwanda cha CETAWIKO ya Muitaliano fulani, White Sweet wine ) Bei 7000/=
Mafuta ya Alizeti (Sunflower) yanapatikana katika ujazo wa lita tano. Bei 12,000 Tsh.tu Ikumbuke kuwa kuna maduka mengi mjini wanachanganya na mafuta ya pamba. Haya niliyonayo safi kabisa maana nimenunua alizeti (Sunflower) na kusimamia ukamuaji.
Napatikana kwa simu namba 0754876688
0785631163
0715876688
Evans Mwemezi

0 feedback :