wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Monday, June 22, 2009

TweetThis! Tangazo la huduma ya RAHA LEO CHAUFFEUR

Napongeza juhudi zinazofanywa na WaTanzania katika kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo.
Ikiwa una shughuli inayohitaji usafiri, tafadhali usisite kuwapa kazi wadau wa Raha Leo.
Mdau wa Raha Leo Chauffeur anasema:
RAHA LEO CHAUFFEUR

IPAMBE SHUGHULI YAKO KWA STYLE!
TUNAKODISHA MAGARI YA KIFAHARI Kama vile Mercedes Benz ML, Limousine, BMW X5, Range Rover Sports na mengineyo KWA BEI NAFUU.
  • MAHARUSI
  • MAHITAJI BINAFSI (Self drive), HOLIDAY etc.
  • SHUGHULI ZA KIKAZI (Business shuttles and Chauffeur driven)
Tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0784211818 au email us at: rahaleo133@gmail.com

2 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Mon Jun 22, 03:06:00 PM MST  

Nami napongeza juhudi zinazofanywa na Dada Subi katika kuwasaidia ama kushirikiana na WaTanzania walio katika juhudi za kuikwamua jamii ama kujikwamua kiakili na kiuchumi na kujiletea maendeleoyao binafsi na ya taifa kwa ujumla.
Asante kwa hili.

Anonymous said... Tue Jun 23, 12:35:00 AM MST  

Da Subi,
Huyu dada anakodisha magari mazuri kweli ya harusi.
Huduma zake ni nzuri na wapo proffessional sana.
Sikujua kama wamejitangaza kwako.
Asante sana
Lady Waffer

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads