wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, May 27, 2009

TweetThis! WATCH online: Barcelona FC vs Manchester United

The match is over.
Barcelona are the WINNER of the 2009 UEFA Champions League!
Congratulations to Barca. You showed a fantastic game and I loved it. Those calculated passes were brilliant and an entertainment of it's own!

Until the end of 90+3 minutes: Barcelona 2 Manchester United 0

Goals were scored by:
Samuel Etoo (10th minute)
Lionel Messi (70th minute)

To watch LIVE online the UEFA Champions League FINAL match 27 May 20090, between Barcelona FC na Manchester United, find the links here: http://nukta77.com/sports


5 feedback :

Malkiory said... Wed May 27, 12:44:00 PM MST  

Subi,

Nimefurahi kwa kutuwezesha kuangalia mechi ya Man. vs Barcelona live.

Subi said... Wed May 27, 12:47:00 PM MST  

Makiory, yaani mi ndiyo ninafuraha mpaka basi maana ManU ni mahasimu wangu. Wakiendelea kucheza huu mdako wanaocheza kwenye uwanja wa mpira leo, watatoka kiwanjani wamenyong'onyea kama simba aliyenyeshewa mvua za Mwanjelwa!
Bazoka na BigG sijui Bablish za mzee wa busara leo zitakuwa bidhaa adimu!

Malkiory said... Wed May 27, 01:57:00 PM MST  

Barcelona walifanikiwa kuwadhibiti kisawasa vijana wa mzee wa bablish.

Subi said... Wed May 27, 02:03:00 PM MST  

Wao kazi yao kucheza rafu tu wakishaanza kushindwa, mara mieleka si mieleka, raga si raga, ndondi si ndondi basi alimradi tu hakieleweki, kazi kutuharibia raha ya gemu tu. Sasa wamekipata walichokitaka, kuumbuka mbele ya kadamnasi kubwa, kwa hilo nawapongeza.
Raaaaaha sana mi nikiona ManYuuu wanacharazwa viboko hadharani na kuchezeshwa kandanda kama mazoezini vile, ha ha haaaa... na bado mwakani, vikombe vyote wanyang'anywe!
Liverfoolian. Fan #1!
YNWA

Anonymous said... Thu May 28, 02:57:00 AM MST  

Nilijua tu kwamba Baca wakipata goli watamiliki mpira mpaka basi. na ndivyo ilivyokuwa, mbaya zaidi wakapata goli la pili wakataharuki Baca wakamliki kiungo kwa asilimia nyingi tu na ndo ikawa raaaha . mbya zaidi fagie hakujua kwamba kumchezesha gigs mwanzoni ni mbaya yule kesha choka, alipaswa achzeshe akina Nani, Tevez mapema labda ingsaidia. nifuraha kwa ss wa Liverpool kwani Tevez ndo anpalilia njia ya kuja kwetu. Man UU Hoi kabisaaaa mkome kuwaza makombe mengi kwa mara moja.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads