wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, May 30, 2009

TweetThis! Video: Akamatwa na madawa ya kulevya

Haya madawa yameshaniharibia ndugu, jamaa na rafiki wengi wao wakiwa wa umri mdogo tu, kabla ya miaka 25! Taifa linatarajiwa kuendelezwa na vijana, lakini kwa mtindo wa madawa ya kulevya, mi naona bado ni maendeleo ya kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya kuelekea gizani. Kazi bado ni pevu!

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads