wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Monday, May 11, 2009

TweetThis! Hivi, ajali ikitokea hapa, watathubutu kusema 'Pole', 'Samahani'?

Amini usiamini, MichuziJr anakwambia kuwa wakazi wa eneo la Sinza Bamaga wameshaita kitengo husika ili kuepusha hatari itakayotokana na ajali hii lakini ni siku TATU zimepita hamna aliyenusisha pua eneo hilo.  Watadai ilikuwa siku ya wikiendi, kama vile hakuna kitengo cha kushughulikia dharura katika shirika hilo. Na hayo eti ndiyo maendeleo na kuwajali wananchi! Afanaleki. Haya we!
[IMG_8736.JPG]

1 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads