wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, May 12, 2009

TweetThis! DecorPlaceTz: Blogu mpya ya mapambo Tanzania

Nilipokea mwaliko wa kutembelea blogu na nilipofika pale, macho yangu hayakuchoka kutizama uzuri wa picha za blogu ile.
Ninyi nyote mlio na mipango ya sherehe ama shamrashamnra za aina mbalimbali, mkiwamo katika kutafuta watu wa shughuli ya mapambo msisahau kusema na DecorPlaceTz.

In their own words:
We are a one-stop answer to all your event decor requirements.Wedding planning, event management and flora arrangements is our specialty. We focus on the overall look of your BIG DAY and assist in creating the event you desire. Contact us at United Nations Road (opp. Tambaza High School, Nextdoor to Flying Chefs. Cell: +255 713 243 or 174/0784 553 679
Baadhi ya picha nilizozikuta kwenye blogu ya DecorPlaceTz ni hizi:
[DSC_0779.JPG]
[DSC_0767.JPG]
[DSC_0766.JPG]
[DSC_0763.JPG]
[DSC_0777.JPG]
[Picture+016.jpg]
[Picture+013.jpg]
[dceor+gazebo.jpeg]
[decor+floral+extravaganza.jpeg]
[DSCN4642.JPG]
[DSCN4641.JPG]
Basi sina shaka hata kidogo kuwa fashionista na  walevi wa urembo na mapambo kama vile Dada Sophie - Sophia's Club & Absolutely Awesome Things, Shamim alias Zeze - 8020 fashions, Rose - FashionJunkii,  Nuru - The Light, Mariam Yazawa - Mumy Hery Collections, Yasinta - Ruhuwiko/Maisha, Devo - DivNiceCollection, TK - Total Knockout, Schola alias Mrs Masanja - Passion4Fashion, Matilda - WaUkweli, Sheria - Sheria na Mavazi nanyi nyote mtakuwa mmesuuzika rohoni.

5 feedback :

sophiasclub said... Tue May 12, 09:40:00 PM MST  

Poa sana !Asante sana Subi kwa kuzijuisha blogs zangu kwa wapenda mapambo Tanzania.Kazi yao nzuri sana nimeipenda.

Yasinta Ngonyani said... Wed May 13, 01:17:00 AM MST  

Asante subi kwa kuitangaza blog yangu kumbe we rafiki mwema. Yaani kama ulijua vile kuwa mimi ni mpenzi wa mambo hayo ya mapambo nk

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads