Chandarua: Kinga ya kuku dhidi ya mwewe!
Mfugaji kuku katika kambi ya wazee wasiojiweza - Funga Funga, Morogoro kamficha kuku wake mwenye vifaranga ndani ya chandarua kukinga dhidi ya wadokozi wake, kunguru na mwewe.
Picha kutoka Lukwangule Ent.




0 feedback :