wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, April 05, 2009

TweetThis! Ujumbe toka kwa bloga Evarist Chahali

Evarist anasema:

TANGU NIANZE KU-BLOG MWAKA 2006 SIJAWAHI KUKUTANA NA KIMBEMBE NINACHOKABILIANA NACHO SASA.NIME-TYPE url YA BLOG YANGU http://chahali.blogspot.com/ NA KUJIKUTA NAPELEKWA KWENYE WEBSITE YA KIDINI http://www.azt.com/. ILI NIENDE KWENYE BLOG YANGU NALAZIMIKA KU-TYPE www.chahali.blogspot.com ...ANYWAY,PENGINE NI PANIC TU LAKINI....

WAKATI NAFANYIA KAZI TATIZO HILI NAOMBA TUENDELEE KUJUMUIKA...WANAJARIBU LAKINI WATASHINDWA.

Regards Evarist
http://chahali.blogspot.com
Nimemwandikia Evarist na ninadhani hii inaweza kumsaidia mwingine pia:
Evarist,
Nimetembelea blogu yako kwa http://chahali.... bila ya kuanza na www na imenipeleka kwenye blogu na nimesoma blogu yako bila kuwa-redirected kwenye azt.com ama tovuti nyingine yoyote.
Pole kwa usumbufu ila ukipata tatizo zaidi nenda kwenye blogger "Dashboard" kisha bofya "Settings" halafu bofya "Publishing" kisha hakikisha maandishi yanasomeka "You're publishing on blogspot.com" ikiwa sivyo, bofya maneno " Custom Domain " yapo kwenye mstari unaofuata ambao unasomeka "Switch to: • Custom Domain (Point your own registered domain name to your blog)" ikiwa kuna jina lolote liondoe. Ukikwama, waandikie Google watafuatilia na kurekebisha, japo inaweza kuchukua muda lakini ndiyo njia pekee ya kurudishiwa jina lako ikiwa limeibwa.
.end.
Subi 

Evarist amejibu kuwa amefanikiwa kurejesha blogu katika hali ya kawaida.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads