wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Thursday, April 23, 2009

TweetThis! Tangazo la msiba

Kwa huzuni kubwa na majonzi, bloga mwenzetu Kennedy Kimaro mwenye blogu ya Magazeti ya Tanzania ameataarifu kufikwa na msiba wa kufiwa na Baba yake Mzazi.
Tangazo aliloliweka katika blogu yake linasomeka:
THURSDAY, APRIL 23, 2009
JAMANI,MAISHA HAYA!
Majonzi na simanzi zimetawala kwangu. Jamani nimefiwa na baba yangu mzazi, kutokana na msiba huu blog yenu itakuwa kwenye msiba

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aipe faraja familia katika kipindi hiki cha majonzi.
Ipumzike pema roho ya marehemu Mzee Kimaro.
Pole kwa msiba Kennedy.
.end.
Subi

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads