wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, April 19, 2009

TweetThis! Photos : Tanzania - Beautiful People!
I have no any right to any of these pictures.
All rights are reserved by the individual people who uploaded them on Flickr - (Tanzania)

7 feedback :

Guest said... Sun Apr 19, 05:28:00 AM MST  

Wow Sis!
 You did take me back home. Well, in a good way.
  Thanx alot

Subi said... Sun Apr 19, 10:47:00 AM MST  

Mube,
Forget about everything else for a while, these are a kind of pictures which makes me feel proud and have an undisputable reason why I even think about home and love my Tanzania so dearly!
Beautiful people as ever!
God Bless them!
Proud Tanzanian!

MAKULILO, Jr. said... Sun Apr 19, 05:00:00 PM MST  

Da Subi,Kwanza awali ya yote nashukuru kwa picha hizi ambazo zimetulia.Pole na majukumu haya.Binafsi picha namba 15 ya huyo mmasai ambaye yupo barabarani peke yake akiwa safarini nimeipenda mno.Kwanza inanipa moyo kuwa safari niliyoianza ya mfanikio ni ndefu mno ambayo juhudi,mbinu, Mungu na ushirikiano vinahitajika kufika huko.Japo ktk picha hiyo inaonekana ni safari ndefu nyoofu, ktk maisha yetu haya changamoto inazipindisha njia hizi na ni lazima tupambane nazo ili kuweka njia hizi nyoofu kwetu binafsi na kwa wenzetu wapitao pia.Picha namba moja hapo nayo imetulia.Furaha ya mtoto huyo naipenda,Thanks Da Subi aka Fundi Mitambo WetuMAKULILO, Jr.www.makulilo.b;pgspot.com

Subi said... Mon Apr 20, 05:23:00 AM MST  

Man, picha yako nimeiona kwa ukubwa aisee inanikumbusha UDSM ile mbaya hata ikiwa nilikuwa nafika pale nyakati fulani fulani tu!
Karibu Man, nice photo!
Home sweet home (i wish all 'mafisadis' could just die off and leave our country alone).

MAKULILO, Jr. said... Mon Apr 20, 05:37:00 AM MST  

Man Manento,Nakumbuka hiyo picha ulipiga kwa kutumia kamera yangu pale Hall 4 kipindi nasubiria route hii ya kuja hapa west virginia.Hhahahahahahaa thanks mkuuManento, nakushauri uwe na desturi kama ulikua hauna, kila siku uwe unapitia blog hii ya Da Subi, the Best blog kwa mtazamo wangu kwa ambazo nimeshawahi kuzitembelea zinazomilikiwa na watanzania duniani kote.MAKULILO Jr,www.makulilo.blogspot.com

Subi said... Mon Apr 20, 06:29:00 AM MST  

Asante Makulilo kwa kuipenda blogu hii.
It's an honor to even have a mention.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads