wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, April 28, 2009

TweetThis! Msaada: Yeyote aliyepo San Diego, Ca.

Ombi kutoka kwa Makulilo Jr.
Ninapenda kufahamu kama kuna mdau yoyote yule, Mtanzania anayeishi katika mji wa San Diego huko California ningependa kuwasiliana naye.Maana ninatakiwa kuanza shule (nondozi zaidi) huko University of San Diego mwezi wa nane mwishoni.
Naomba tuwasiliane kupitia e-mail yangu ernest_makulilo@yahoo.com  au msauzi101@yahoo.com  na namba ya simu ni 304 633 0978
MDAU
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com 
West Virginia

4 feedback :

Anonymous said... Tue May 19, 05:43:00 PM MST  

Check with Dennis Massawe, the artist of the Album "No More Limbo" contacts on his website dennismassawe.com, he's a good guy and he's help you with your transition.

Shallua

MAKULILO Jr, said... Tue May 19, 06:17:00 PM MST  

Asante Da Subi, na pia Shallua,
Nimecheki site ya Dennis uliyoniandikia hapo, nimepata namba yake ya simu.Nitawasiliana naye

Thanks

MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com

Subi said... Wed May 20, 04:42:00 AM MST  

Bro Shallua,
I processed the links add-up, then tried to send a notification via the email you left - the5bugs@gmail.com - but it failed to deliver.

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads