Msaada : Swali kuhusu usajili wa magari ya LHD Tanzania
Wapendwa wasomaji wa blogu, mwenzetu anaomba maelezo/maelekezo kuhusiana na utaratibu wa kusajili na kutumia motakaa ambayo usukani na uendeshaji wake vipo upande wa kushoto yaani LHD. Anauliza hivi:
Je! Gari ambazo ni left hand driving zinaruhusiwa kutumika Tanzania?
Au je, kuna taratibu zozote kuhusu gari hizi?
Mtu unaweza kuiingiza na ikasajiliwa sawa na magari ya right handed ambayo ni common nchini kwetu?
Samahani, nauliza hivi kwa kuwa sielewi na ninatamani kwenda na gari ninayotumia hapa kwenye nchi ambayo endeshaji wake ni wa Left Hand.
Asante.
1 feedback :
Unaruhusiwa lakini itakuwa usumbufu kwa mtumiaji tu. Kwani mwaka juzi tulitumia gari aina hii,