wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Monday, March 23, 2009

TweetThis! Mama na wana! kila mtu ajitafutie nafasi...

Juzi nimetembelea blogu ya ShalomBrothers nikafurahi sana kuiona hii picha inayonikumbusha usemi 'kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe' kumbe hata viumbe wengine nao wanabeba vyao. Alivyowabeba hao wanawe sasa sawa na kasheshe za kudandia daladala bora liende na tufike salama, haijalishi mguu unaning'inia ama kiwiliwili kinaelea nje... bora liende. Maisha ni safari!

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads