wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, March 01, 2009

TweetThis! I am proud to introduce to you Naike Moshi of CareerCoachville

Ni furaha ya pekee kufahamu kuwa WaTanzania wengi wanaendelea kujitokeza katika nyanja za TeknoHaMa.
Ninamtambulisha kwenu MTanzania mwenzetu aliyeanzisha tovuti yake kwa minajili ya kujadili na kusaidiana katika nyanja za elimu na ajira.
In her own words:
I recently started my own site, helping recent graduates with job information, like interviewing, writing resume and all those kind of stuff.
Here is the link to my site: http://www.naike-careercoachville.com
Naike M.
Nilivutiwa na madhumuni ya kuanzishwa kwa blogu-tovuti yake na nilipotembelea nilipenda maudhui chanya na endelevu yaliyoandikwa. Utambulisho wa Naike katika tovuti yake unasomeka:
Naike Moshi
Knoxville, Tn United States Of America

I have always wanted to start my own blog; the idea of helping recent grads and job seekers with career information came into mind. I don't ever want to look back and say, “I wish I had done this, “I want to look back and say,"Thats what I wanted to do and hey, I did it" I graduated with bachelor's degree in Accounting and Human Resource Management in May, 2008.Been working as an Assistant Tax manager / Tax Accountant at Roni Deutch Tax Center since 2007. Iam planning to sit for my CPA exam by the end of 2009. Iam also interested in Forensic Accounting.Blogging gives me an opportunity to give back to the community and boost my personal brand. There is a lot of things that you won't learn from college, Here you will find information about job hunting, resume, personal branding, and interview information. Please feel free to email me with suggestions , comments, concerns, ideas at careercoachville@yahoo.com Many thanks to my family and friends for all your support. You know who you are. Special thanks to John Uchai, Seko Andrew, Cuthbert P,Clark Christensen, Laura Annan, Ginger and Koral Stache. THANK YOU SO MUCH FOR VISITING MY BLOG.

4 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Mon Mar 02, 07:21:00 AM MST  

Thx Subi and welcome Ms Naike
s Blessings to us all

malkiory said... Mon Mar 02, 08:50:00 AM MST  

Hongera Subi, kwa juhudi zako za kuendelea kuwatambulisha wadau.

MAKULILO Jr, said... Mon Mar 02, 01:04:00 PM MST  

Da Naike,
Karibu sana, na nakupongeza kwa msaada wako ambao utawasaidia wengi sana Tanzania.Usife moyo na changamoto utakazokutana nazo, naamini Da Subi, Mzee wa Changamoto, na wengine wengi tupo ambao tunasaidiana katka kuhakisha elimu tuipatayo inakua na msaada kwa wengine pia.

Napenda kumshukuru pia Da Subi daima kuwa mtu wa watu. Falsafa ya PUGU iendelee daima, ni njia ya kuhakikisha na wengine wananufaika na ujuzi tuupatao.

MAKULILO Jr,

Subi Nukta said... Wed Mar 04, 10:30:00 AM MST  

P.U.G.U = Pata Ujuzi Gawia Umma. Iendelee daima! Furaha ya elimu na ujuzi ni kuigawa na kuishiriki na wengine!

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads