wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, February 25, 2009

TweetThis! URGENT: Je! Unamfahamu MTanzania aliyepo Estonia?

Tafadhali msaada unahitajika ikiwa unamfahamu MTanzania yeyote aliyepo Estonia.
Yupo mwanafunzi Mtanzania anayesoma Chuo Kikuu cha Helsinki na anatarajia kwenda Estonia wiki ijayo na anahitaji kuwasiliana na MTanzania yeyote aliyepo Estonia kwa ajili ya kuandika ripoti inayohusiana na Estonia.

Ikiwa unaweza kusaidia tafadhali wasiliana nami ili nikuunganishe na mhusika kwa anwani yangu inayoonekana hapo juu kushoto kwenye 'Wasifu Wangu' nukta77[at]gmail.com

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads