wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, February 04, 2009

TweetThis! Soma magazeti ya Tanzania kupitia KennedyTz

WaTanzania mnaoishi nje ya Tanzania na mnaopenda kusoma magazeti kujua habari zilizoandikwa na magazeti ya nyumbani tafadhali tembeleeni blogu ya Kennedy Kimaro!
KennedyTz.blogspot.com - Ni blogu niliyoifahamu mwishoni mwaka jana na hadi leo nimekuwa nikiitembelea mara kwa mara kujisomea habari za hapa na pale. Nimewahi kuwa na shida ya kina cha habari fulani na bahati nzuri mwenye blogu ni muungwana sana kwani nilipomtumia ujumbe mfupi wa maneno kwenye simu yake alijibu kwa kubandika kile kilichostahili.

Wasiliana na Kennedy kupitia:
mbezisokoni@gmail.com AU kimarokennedy@hotmail.com AU mbezisokoni@yahoo.com
Simu: +255784247723 AU +255797224540

Hongera na Asante sana Kennedy kwa kutuunganisha kupitia habari za magazetini.

1 feedback :

Mubelwa T Bandio said... Thu Feb 05, 03:41:00 AM MST  

Nami nimemtembelea mara kadhaa na ninafurahia HUDUMA yake. Asante sana Kennedy. Watufaa tuio na access na magazeti ya nyumbani

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads