wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, February 13, 2009

TweetThis! Baba miaka 13. Mama miaka 15. Mtoto siku 5!

Alipoulizwa ikiwa anajua japo bei ya nepi basi alijibu, “I think it’s a lot”, ...huyo ndiye baba wa mtoto.
Pichani ni familia ya Alfie(baba), Chantelle (mama) na Maisie (mtoto).

Hicho ndicho kisa kilichotokea katika familia hii ya huko nchini Uingereza kwa watoto kuzaa mtoto wao.

Waziri Mkuu wa Uingereza amekataa kuzungumzia moja kwa moja kuhusiana na kisa hiki lakini ameasa kuwa Serikali lazima iwe makini katika kuweka mipango madhubuti ya kuelimisha dhidi ya mimba za utotoni na watoto kuza watoto.

Kwa habari zaidi soma The Sun

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads