wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, January 20, 2009

TweetThis! Askari 918 wa Tanzania kupelekwa Sudan

Serikali ya Tanzania inatarajia kuwatuma askari wake wapatao 918 kwenda nchini Sudan ili kusaidia katika harakati za kurejesha amani katika jimbo lenye machafuko la Darfur ambapo takribani watu laki mbili wameshapoteza uhai.

Alisema hayo Warizi wa Mambo ya Njea na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania bwana Bernard Membe katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika mjini Dar Es Salaam.
...the Parliamentary Foreign Affairs, Security and Defence Committee has endorsed the plan and troops were scheduled to leave in March. 
Mwaka 2007 Raisi Jakaya Kikwete alipokutana na Waziri wa Mambo ya nje bi Condoleezza Rice aliahidi kutuma askari huko Sudani. Raisi alisema kuwa Tanzania ingelituma askari wake pale tu mipango yote inayotakikana kufanywa na muungano wa Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa ingekamilika.

Waziri Membe aliongeza kwa kusema kuwa Kamati mbalimbali za Bunge zimetoa pongezi zao kwa Raisi Kikwete kwa mafanikio kadhaa yaliyopata chini ya uongozi wake katika Umoja huo.
The Committee has commended the AU Chairman for achievements in the Comoros, Kenya, and Darfur."The AU actedly firmly leading to suspension of planed arrest and prosecution of President Omar al Bashir by the International Criminal Court (ICC), said Mr Membe. 
Hadi sasa wapo askari wa KiTanzania wapatao themanini wanaohudumu katika shirika la Umoja wa Mataifa la UNIFIL katika nchi ya Sudan ambapo inakadiriwa kuwa machafuko ya Darfur pekee wachilia mbali yale ya kusini mwa nchi hiyo, yamesababisha watu wapatao milioni 2.5 wapoteze makazi yao.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads