wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Friday, December 19, 2008

TweetThis! Vijana na usafi - DW radio Swahili

Mchezo wa redio DW ya Ujerumani kuhusu kasheshe ya vijana wa kiume na usafi!
...Hassani anapoteza soksi anadai Emanueli kamwibia.
...Emanueli ni mnoko wa usafi wa nyumba kumbe mwenyewe anapiga panchi eti kachoka kuoga kila siku, soksi zake zinanuka pfu pfu pfu akiulizwa anapandisha mzuka.
...Saimoni naye anachonga ati jamaa wote 'vyupi vyao vichafu'.
ha ha haaa, furahia!

2 feedback :

Mzee wa Changamoto said... Fri Dec 19, 08:09:00 PM MST  

Hahahaaaaaaaa. Lafidhi za wapi hizi? Mchanganyiko safi. Igizo limechezwa na watangazaji nini?

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads