wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Wednesday, December 31, 2008

TweetThis! Jarida la Cheche za fikra, toleo na. 20

Mawazo na habari zilizomo kwenye kijarida hiki ni za mhariri na waandishi wa kijarida husika. Nakala imewekwa hapa kwa wasomaji kujipatia nakala yao na si kwa madhumuni mengine. Blogu hii haikanushi ama kukubaliana na yaliyoandikwa katika kijarida hiki.
Bofya hapa kujipakulia nakala yako

2 feedback :

Christian Bwaya said... Wed Dec 31, 05:35:00 AM MST  

Heri ya mwaka mpya. Kwa mwaka unaoishia, kazi zako zimenivutia mno. Bila shaka kasi itakluwa kubwa kwa mwaka huu unaoanza.

Subi Nukta said... Wed Dec 31, 05:42:00 AM MST  

Bwaya,
Nashukuru sana kwa kuwa mmojawapo wa wasomaji wa blogu hii.
Tujaliwe sote uzima, na maarifa zaidi kwa ajili ya kufahamishana yale yote yatakayoifaa jamii yetu.
Nami nakutakia mwaka mpya wenye heri na fanaka!

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads