Ujumbe mfupi wa simu unapokuwa ndivyo sivyo
Only in Tanzania would a representative from the Ministry of Agriculture send you a text message to introduce herself and set up a meeting. “Helo Im Esther Mfugale. From Ministry of Agriculture. Would it be possible to meet on 22/11/08 at 10.00 Am.” Only in Tanzania.

Ama kwa hakika mila na desturi zinatofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine.
Ni vigumu skuielewa desturi ya watu ikiwa u mgeni ama ikiwa u mwenyeji usiyeuelewa ugeni wa mgeni wako. Kwa hili, nasema 'ukienda kwa WaRumi jitahidi uishi kama WaRumi'.
Nilichukua picha ya sehemu hiyo ya tovuti kama ilivyoandikwa.
0 feedback :