wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, July 05, 2008

TweetThis! Jifunze kutokana na shida ya mwenzio

I am cross posting this from another e-group as an FYI (for your information) so that you know and plan ahead should this happen to you or anybody withing your circle. The story is very frustrating. I don't know if the "Toa Taarifa ya Uhalifu" or "Wasiliana nasi" pages at the Tanzania Police Force website(http://www.policeforce.go.tz) could help.

Read this this:Nilipoteza wallet yangu8 tarehe 21 ikiwa na ID's zangu pamoja na ATM card yangu, sasa nikaenda bank niblock account yangu. Nikaambiwa haiwezekani hadi niende polisi nipewe lost report. Hapo bank wakanipa form ya kunitambulisha huko polisi kama mteja wao. Nikaenda police pale UDSM mlimani, wakaandika maelezo yangu then nikaambiwa inabidi niende kituo cha Magomeni au Oysterbay nikalipie T. Shilingi mia tano (500) kwa sababu wao hawana mhasibu pale, nipewe risiti niirudishe pale polisi ndio wanipe hiyo lost report ili nende bank kublock account yangu na kuanza process ya kupewa ATM mpya.Kwa kuwa ilikuwa jioni, definitely nisingemkuta huyo mhasibu, nilivyoenda Oysterbay nikaambiwa hawana risiti zimeisha niende Magomeni. Nikaenda Magomeni nikaambiwa risiti zimeisha niende baada ya siku tatu au niende Msimbazi. Kumbuka siku zinapita sijablock account yangu. Mchana huu nimeenda Msimbazi, nimeambiwa risiti hakuna.Sasa nikauliza inakuwaje kwenye ishu kama hii wananizungusha hivi na accaunt yangu inaweza kuibiwa? Wanasema there is nothing they can do. I am so mad hata sijui nifanyeje, tena bila aibu polisi huyo ananiambia, "rudi kule mlimani wabembeleze wape chochote wakuandikie lost report ndo hali ilivyo" can you imagine?Yani nimesumbuliwa wiki mbili ili nilipie tu T.Sh 500 nimetembea vituo vyote hivyo vya polisi na hakuna nilichokipata. Sasa jamani kwa hali hii mtu anafanyaje? Je hii nchi haina kabisa utaratibu wa maana zaidi ya mlolongo mrefu usiokuwa na kichwa wala miguu ukitoa mianya ya rushwa? Na sasa ni lazima kuwe na process ndefu namna hii kwenye huduma ambayo ni haki yangu?

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads