Jinsi ya kujua ilipofikia safari ya kifurushi ulichotuma
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa FedEx ama UPS unaweza kugundua kilipo kifurushi chako katika safari yake kwa kutumia anwani pepe (parcel tracking via email ).Andika ujumbe kama ambavyo ungekuwa unaandika kumtumia rafiki kupitia kompyuta ama simu ya kiganjani, kisha utume kwa FedEx kupitia track@fedex.com ama UPS kupitia totaltrack@ups.com (kwa wanaoishi nje ya Marekani, tumia totaltrack.fr-fre@ups.com) na wenye kompyuta za Mac tumia Mike PIONTEK
Kwa muda mfupi tu, utaweza kufahamu safari ya kifurushi chako ilipofikia kwa wakati huo.

0 feedback :