wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Tuesday, April 22, 2008

TweetThis! Ukoloni. Unyanyasaji


Hizi ndizo zile picha zinazosababisha watu wawashwe ubongo ukiwaambia ati 'utumwa' haukuwaathiri wazee wetu. Haukuwaathiri kivipi?
Picha kama hizi zinatukumbusha sana historia yetu, tujue tulikotoka, tuliko na tupange tunakotaka kwenda tusijelemaa na kurudia huko.Inavyoelekea, 'mafisadi' walijifunzia historia hasi na hivi wamegeuza mabega yetu vikalio kama alivyofanya huyu mzungu hapo pichani.
Mafisadi wengine wanadiriki kusimamia mabega hayo hayo waliyokuwa wameyakalia, kuchuma yale matunda aliyotuonesha Kipanya kwenye katuni yake (ipo hapa).Kwa jinsi ambavyo tumeshaanza kusema, 'nimechoka'.... sijui watatuwuwa ama watatunyonga hadi tufe, sijui, ila nina hakika jiwe la usogo lazima litawakwida baadhi yao hadi watazimia.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads