wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Sunday, April 20, 2008

TweetThis! Ukiwaona Ditopile Mzuzuri afariki dunia

Ukiwaona Ditopile Mzuzuri amefariki dunia mjini Morogoro.
Bwana Ditopile alifariki katika hoteli ya Hilux iliyopo mjini Morogoro ambako alikuwepo akitokea Tabora. Mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Ukiwaona Mwinshehe Ramadhani Ditopile Mzuzuri
Picha kwa hisani ya Lukwangule Ent.

0 feedback :

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads